Mapenzi Hayana Nafasi kwa Diana

Mapenzi Hayana Nafasi kwa Diana
Mwanadada Diana Kimari amefunguka na kusema kuwa moja kati ya vitu ambavyo kwake sio muhimu sana ni kufanya mapenzi kuwa sehemu ya maisha yake  hata kama yuko katika mahusiano .

Diana anasema kuwa kitedno cha kuwa katika mahusiano na kuyaweka mbele sana kunaweza kufanya kushindwa kufanya vitu vingine  vya maana ambavyo anahisi vinaweza kumpa faida zaidi kuliko kile anachokifanya.

siyo kwamba sina mapenzi, ni kwamba sijamchukulia kihivyo huyo mwanaume kwa sababu naona kuna vitu vingine ninaona nina vitu vingi sana vya kufanya kwa sababu  nikijikita huko naona nitaharibu mambo mengi sana,  na ndio maana sitaki kumuonyesha mahali popote kwa sasa.


Comments