Diamond Platnumz Asaini Dili Jipya na Pepsi

Diamond Platnumz Asaini Dili Jipya na Pepsi
Msanii wa muziki wa Bongo fleva Naseeb abdul maarufu kama Diamond Platnumz ameweka wazi dili lake jipya alilosaini na kampuni ya Vinywaji baridi ya Pepsi Tanzania.

Diamond alisaini mkataba wa kwanza na kampuni hiyo kupitia kinywaji cha Mirinda ambapo walikuwa  wadhamini wakubwa wa tamasha la Wasafi Festival.

Siku ya Leo Diamond amezungumza na waandishi wa habari leo katika Ukumbi wa Serena Hotel uliopo Posta jijini Dar, wakati wa utambulisho wa kinywaji kipya cha Mkubwa Wao ambacho kilizinduliwa tangu Januari 21.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Diamond ameandika maneno haya juu ya dili lake jipya na Pepsi:

Comments