Offeset amuomba msamaha Card B Cheki Video hapa Chini

Rapper kutoka nchini Marekani ambaye pia naunda kundi la Migos Kiari Kendrell Cephus alimaarufu Cardi B amefunguka kupitia ukurasa wake wa Instagram na kuweka clip fupi ikimuonyesha akimuomba msamaha mama mtoto wake Cardi B.
Image result for cardi b and her husband images
Offset na Cardi B walitengana siku za hivi karibuni kutokana na tetesi zilizosemekana kuwa Offset alikuwa na kimada ambaye alikuwa anajulikana kwa jina la Summer Bunny.

Kwenye hiyo clip Offest anasisitiza kwamba  “siku ya birthday yake moja kati ya vitu anavyopendelea vitokee ni kuona anarudiana na mpenzi wake huyo mwanadada Cardi B, huku akimuomba amsamehe na kusisitiza kwamba anampenda sana”

Comments