Wakati tunakaribia ukingoni mwa mwaka 2018, Hotmixmziray imekuandalia makala maalumu ya watu 50 wenye ushawishi nchini Tanzania kwa mwaka 2018.
Majina haya 50 yametokana na maoni ya watu kwenye mitandao ya kijamii na wadau mbalimbali. Ambapo Hotmixmziray iliweka vipengele 8 ili watu waweze kupendekeza majina hayo.
Licha ya mapendekezo hayo kutoka kwa wadau, vigezo vingine vilivyoangaliwa ni kazi zilizofanywa na mtu husika, matangazo (Endorsements) na mchango wa mtu tajwa kwenye jamii yake.
(i)-WASANII 10 WA MUZIKI WENYE USHAWISHI ZAIDI KWA MWAKA 2018:
Diamond Platnumz na timu yake.
1-Diamond Platnumz.
2-Alikiba
3-Harmonize
4-Maua Sama
5-Vanessa Mdee
6-Rayvanny
7-Aslay
8-Nandy
9-Jux
10 – Mbosso
(ii)-WAIGIZAJI WA FILAMU NA WACHEKESHAJI :
Gabo Zigamba muigizaji
1-Gabo
2-Joti
3-Riyama Ally
4-Kitale
5-Tinny White na Ringo
(iii)-WANAMICHEZO (Michezo mbalimbali ):
Mbwana Samatta mchezaji wa timu ya taifa [taifa stars] na KRS Genk
1-Mbwana Samatta
2-Hassan Mwakinyo
3-Simon Msuva
4-John Bocco
5-Abdi Banda
(iv)-WAANDISHI WA HABARI, WATANGAZAJI NA BLOGGERS:
Millard Ayo Mmiliki wa Ayo Tv na Millardayo Blogg na Mtangazaji wa Clouds Media Group
1-Millard Ayo
2- Omary Tambwe (Lil Ommy).
3-Maulid Kitenge.
4-Fredrick Bundala (Sky Walker).
5-Sam Misago..
(v)-WANAMITINDO NA WABUNIFU WA MAVAZI:
Martin Kadinda
1-Martin Kadinda.
2-Jocktan Makeke (Makeke International)
3-Noel
4-Calisah
5-Kitupe
(vi)-WATAYARISHAJI WA MUZIKI NA WAONGOZAJI WA VIDEO ZA MUZIKI NA FILAMU:
Hanscana kulia kwenye picha
1-Hanscana.
2-Msafiri (Kwetu Studio).
3-Kenny (Zoom Production).
4-Abba Process.
5-Lizer.
(vii)-WAJASIRIAMALI :
Faraja Nyalandu
1-Faraja Nyalandu.
2-Nancy Sumari.
3-Flaviana Matata.
4-Shilole.
5-Dick Sound.
(viii)WATUMISHI WA UMMA NA VIONGOZI:
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
1-Mheshimiwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli.
2-Makamu wa Rais Mhe. Mama Samia Suluhu .
3-Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa.
4-Waziri wa Habari, Dkt. Harrison Mwakyembe.
5-Waziri wa Ardhi Mhe. William Lukuvi.
6-Waziri wa Afya, Mhe. Ummy Mwalimu.
7-Waziri wa TAMISEMI, Mhe. Selemani Jafo.
8-Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Mhe. Paul Makonda.
9-Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Mhe. Aggrey Mwanri.
10-Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Mhe. Jokate Mwegelo.

Comments
Post a Comment