Mastaa wawili kutoka nchini Marekani Belcalis Marlenis Almánzar alimaarufu Cardi B pamoja na mpenzi wake
Kiari Kendrell Cephus alimaarufu Offset, wameamua kurudiana baada ya kuvunja mahusiano yao siku chache zilizopita.
Siku ya tarehe 14 ambayo ndio ilikuwa birthday ya Offset aliamua kujitokeza wakati Cardi B anafanya show na kumuomba msamaha lakini mambo yalikuwa magumu.
Siku ya jana wawili hao walionekana wakiwa pamoja huku wakila good time kitu ambacho kina leta tafsiri kwamba wamerudiana na kuamua kuyamaliza na kuziondoa tofauti zao.
Comments
Post a Comment