Mchezaji wa Manchester United atoa shukrani zake kwa Wakenya

Kiungo wa klabu ya Manchester United kutoka nchini Uingereza Nemanja Matic ametoa shukrani zake kwa mashabiki wake kutoka nchini Kenya.


Kiungo huyo raia wa Serbia ametoa shukrani zake kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa mashabiki hao kutoka nchini Kenya baada ya daladala moja kutoka nchini humo kuchora picha ya kiungo huyo,huku pembeni yake kukiwa na nembo ya klabu ya Manchester United.


Matic amewashukuru mashabiki wake pia amashabiki wa klabu ya Manchester United kwa kunesha upendo kwake na klabu yake hiyo.

Huu hapa ndio ujumbe wake:-


Comments