Msanii wa filamu Bongo, Shamsa Ford amemkingia kifua Irene Uwoya kwa kile kinachondelea kuhusu vazi la ufukweni.
Irene amegonga vichwa vya habari vilievyo mtandaaoni baada ya kuposti picha ambayo kwa kiasi kikubwa inaonyesha umbile lake. Sasa Shamsa kupitia Instagram ameandika;
Picture zako zote nzuri mama umependeza sana, mimi nachojua mtu unavaa kutokana na location unayoenda, sasa sidhani kama Ir
Kuna wengine wanavaa en anaweza akavaa hivi halafu akaenda ofisini. Sasa mtu yupo beach mlitaka avae dira?.
Mumewe amemsifia amependeza sasa nyie wapembeni mnasema amekosea mnajisumbua, kila mtu atahukumiwa kwa matendo yake binafsi na Mungu. Tusiishi kwa kuhukumiana maana wa peponi hawajulikani.
hadi dira beach lakini matendo yake ukiyashuhudia unaweza ukatoa mbio. Tatizo lako wewe dada Iren ni hilo umbo ndo limewakosesha amani watu.Ungekuwa na flatscreen maneno yasingewatoka hebu kafanye operation upunguze Gushepu.
Hata hivyo Dogo Janja ambaye ni mume wa Irene Uwoya ameonyesha kupuuzia wale wanaomesema mke wake kutokana na hiyo picha. Dogo Janja amemueleza kuwa; “Usicheze na hii midoli, kwa maana midoli haing’ati’.

Comments
Post a Comment