RAPPER xxxtentacion amefariki dunia

Rapper wa marekani xxxtentacion (20) ameuawa kwa kupigwa na risasi akiwa katika gari lake huko south florida marekani.

Mpaka sasa hakuna ripoti yoyote kama alikuwa na ugomvi na upande mwingine. 
Xxxtentacion aliwahi kusema kupitia insta live kuwa hata kama ajafa hatahakikisha anawapa furaha watoto wapatao milioni 5.


Comments