Lynn ashindwa kuzungumza baada ya kusikia diamond karudiana na zari

Lynn Ashindwa Kuzungumza Baada ya Kusikia Daimond Amerudiana na Zari "Siwezi Naomba Nibaki Kimya"
VIDEO Queen Irene Charles ‘Lynn’ ambaye alijipatia umaarufu baada ya kukwaa skendo ya kutoka kimapenzi na mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’ amepata kigugumizi aliposikia mwanamuziki huyo amemfuata mzazi mwenziye, Zarina Hassan ‘Zari’ kwa nia ya kurudiana.

Hiyo imekuja baada ya siku za hivi karibuni ‘modo’ huyo kudai kuwa, anao uwezo wa kumng’oa Hamisa Mobeto kwa Diamond na zilipovuja taarifa kuwa Zari anarudisha majeshi na yeye kuulizwa ana lipi la kusema alipata kigugumizi na kusema:



“Kuhusu Diamond kwenda kwa Zari yaani siwezi kuzungumza chochote, nina sababu zangu please naomba nibaki kimya,” alisema Lynn. 

Comments