Msanii wa filamu Bongo Steve Nyerere ametuonesha picha za mtoto wake mdogo anayetimiza mwaka siku ya leo May 22, 2018 mtoto aliyezaa na Msanii wa filamu Wellu Sengo ‘Matilda‘ kama utakumbuka wawili hawa waliwai kuhusishwa kutoka kimapenzi kipindi cha nyuma.
Licha ya Steve Nyerere kutuonesha picha za mtoto huyo ambaye ni wakike lakini pia mastaa mbalimbali akiwemo Wema Sepetu na Nuh Mziwanda wamempost na kumtakia heri mtoto huyo…….>>>”TIVU…!!! TIVU….!!! TIVU….!!! Aaaaah sijui hata niseme nini… Umejifungua Baba… Mashallah Jamani… Waone mlivyo kama mapapai… Hapa ulituliza Kosekshen yako… Hongera Tivu akee… Mungu akutunzie Binti yako na Familia yako”
“Ila pia mpende sana @sengomatilda @sengomatilda @sengomatilda … My Baby sister umempa huyu mtu Bichwa kubwa sana kwakweli… Kababy kenu ni kashweet kupita maelezo… 😍😍😍” -WEMA SEPETU
…>>>“Twins ‘Hongera sana Brother copy kabisa @stevenyerere2 🔥” -Nuh Mziwanda
Comments
Post a Comment