Picha: Andres Iniesta alivyoagwa na Barcelona kwenye mechi yake ya mwisho

Usiku wa jana Andres Iniesta alicheza mechi yake ya mwisho akiwa na Barcelona baada ya miaka 22 akiwa na timu hiyo.

Katika mechi hiyo ambayo ilichezwa katika uwanja wa Camp Nou na kuhudhuriwa na mashabiki zaidi ya 90,000, Barca waliibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Real Sociedad.






Comments