Baada ya muimbaji Gigy Money kuzungumza kuhusu ishu ya kutengana kati yake na aliyekuwa mpenzi wake Mo J, sasa leo tumempata Mo jay ambaye na yeye kazungumzia upande wake kuhusu ishu hiyo.
Mo jay amefunguka na kusema familia ya Gigy Money inampenda mwanaume mwenye pesa ambae alikuwa na gigy kabla yake.
Aliongeza na kusema ni" kweli kuna muda tulikuwa tunagombana na wakati mwingine nilikuwa nampiga ingawa alikuwa mjamzito. Mimi bado nampenda Gigy maana ni mwanamke pekee alieweza kunifanya nikaitwa baba japo anasema mtoto siyo wangu ila nitapima DNA na ukweli utabaki kuwa ni wa kwangu na ni damu yangu.
Comments
Post a Comment