Umaarufu humpelekea mtu kufanya kitu ambacho muda mwingine hakutarajia kukifanya. Mwanamitindo na mtangazaji maarufu wa Uingereza, Katie Price amefanya kitu kilichowashangaza mashabiki wake katika kusherehekea siku yake ya kuzaliwa.
Mrembo huyo ambaye Jumanne hii ametimiza miaka 40, amesherehekea siku yake hiyo kwakupiga picha ya utupu na kuiweka kwenye mtandao wake wa Instagram.
“It’s my BIRTHDAY 🎂🎈❤ let’s celebrate 🎈💃🏼, Katie ameandika kwenye picha aliyoiweka kwenye mtandao huo.
Hata hivyo siyo mara ya kwanza kwa mwanamitindo huyo kupiga picha za utupu na kuziweka mitandaoni. Katie ana watoto watano lakini pia ni ex wa mchezaji wa zamani wa Manchester United, Dwight Yorke
Comments
Post a Comment