DR Cheni akanusha kuonekana kwa lulu Uganda

Image result for lulu michael photos
Mlezi wa hiyari wa msanii Elizabeth Michael aka Lulu amekanusha bint yake kuonekana katika viunga vya Kampala Uganda akila bata wakati wa Pasaka. Dr Cheni amewataka waandishi kumtembelea Lulu gerezani ambako watamkuta amejaa tele akiendelea kutumikia adhabu yake ya miaka mitatu gerezani.

Image result for lulu michael na dr cheni photos

Comments