Yaya Toure amesaini mkataba mpya wa mwaka mmoja Man City….


Kiungo Yaya Toure, 34, amesaini mkataba mpya wa mwaka mmoja na klabu yake ya Man City utakaomfanya aitumikie timu hiyo mpaka majira ya kiangazi 2018.
Yaya Toure amecheza mechi 299,amefunga magoli 81 toka kujiunga na Man City akitokea Barcelona mwaka 2010.

Comments