Taifa Stars yawasili Misri (Picha) on June 01, 2017 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Timu ya Mpira wa Miguu ya Tanzania – Taifa Stars imewasili salama Tolip Sport City, Alexandria nchini Misri tayari kabisa kuanza kambi ya wiki moja kujiandaa kucheza na Lesotho katika mchezo wa Kundi L kuwania kucheza fainali za AFCON. Comments
Comments
Post a Comment