Shabiki wa Rihanna, hili jipya kuhusu muziki wake mpya….


Rihanna ameanza kurekodi album yake ya tisa.
Wiki iliyopita Rihanna alikuwa na msanii kutoka Jamaica Buju Banton na imethibitishwa kuwa atasikika kwenye album mpya ya Riri na mpaka sasa wamefanya rekodi mbili “Only One Who Knows” na “Phatty”.
Mwaka 2016 Riri alitoa ANTI iliyofanya vizuri kwenye chati za billboard. Mwaka huu Rihanna atakuwa kwenye filamu zaidi ya mbili pamoja na kutoa album mpya.
Album hii ya tisa ya Rihanna mpaka sasa imepewa jina la awali #R9,

Comments