Serena Williams azungumzia jinsia ya mtoto wake….


Serena Williams amefunguka kupitia IG yake kuwa hajui jinsia ya mtoto wake na anataka iwe SUPRISE Kwake na kwa mchumba wake.
Kauli hii imekuja baada ya tetesi kusamba kuwa dada yake ‘Venus Williams’ amesema mtoto anayetegemewa kuzaliwa na dada yake ni wakike alivyokuwa kwenye michuano ya French Open wiki hii.
Serena Williams, 35, amesema yeyena mchumba wake hawana haraka ya kujua kama ni mvulana au msichana kwa sasa,

Comments