Rapa Rich Homie Quan jela miaka 30….


Rich Homie Quan atahukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kama atakutwa na hatia kwenye kesi kubwa inayomkabili.
TMZ imeripoti kuwa rapa huyu kutoka Atlanta amekamatwa na dawa za kulevya wakiwa nampango wa kuziuza, amekamatwa akiwa na marafiki zake watano.
Quan na marafiki zake watano wamekamatwa na silaha za moto, bangi pamoja na dawa za kulevya, dhamana ya Quan ilikuwa milioni 44 za Tanzania.

Comments