
Shambulizi hili linatajwa kuwa kubwa zaidi nchini humo
Rais wa Afghanistan Ashraf Ghani ameelezea shambulizi la bomu katika mji mkuu Kabul kama uhalifu dhidi ya ubinaadam.
Katibu mkuu wa umoja wa mataifa Antonio Guterres pia amelaani shambulizi hilo lililouwa watu 90.Zaidi ya watu 400 walijeruhiwa.
Dereva wa BBC Mohammed Nazir, ni miongoni mwa waliouawa.

Taliban na Pakistan kwa pamoja wamekanusha kuhusika.
Comments
Post a Comment