Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli, amefanya uteuzi wa Naibu Magavana wawili wa benki kuu ya BOT, amemteua Dkt. Yamungu Kayandabila kuwa Naibu gavana anayeshughulikia uchumi wa fedha na Dkt. Bernald Yohana Kibese, kuwa Naibu gavana anayeshughulikia uthabiti na usimamizi wa sekta ya fedha.
Comments
Post a Comment