R&B star Ne-Yo ameacha kuvaa kofia muda wote kama ilivyokuwa tabia yake na muonekano wake ulivyozoeleka.
Toka kuchukua umaarufu mwaka 2005, Neyo amekuwa akivaa kofia kwenye maonyesho ya muziki, shughuli za watu maarufu, filamu na kwenye video za muziki wake, ila hiv karibuni staa huyu wa rnb aliweka pembeni kofia hio.
“Nilijiambia mwaka 2017, ni mwaka wa mapenzi , kujiamini na kuishi kama nilivyona kujipenda….”
Comments
Post a Comment