Picha,kutoka kwa Kanye West, hii Yezzy mpya ya mazoezi…


Kutoka kwa rapa Kanye West, hii Yezzy mpya ya mazoezi imetambulishwa rasmi na Ibn Jasper kupitia instgram yake.
Hii ni kutoka Yeezy Season 6 na iatu hivi ni kwaajili ya kukimbia na mazoezi kimeitwa Yeezy 6 runner shoe.
 

Comments