Picha ziko hapa,mwigizaji Jamie Foxx amwaga dola milioni nne kununua gari mbili za kifahari….


Akiwa kwenye mapenzi moto moto na Katie Holmes, mwigizaji maarufu Jamie Foxx ametajwa kuwa na gari kali za kifahari mbili zinazofanana.
March mwaka huu Jamie Foxx, 49, alionekana na gari aina ya Bugatti Veyron yenye rangi blue na sasa staa huyu amenunua nyingine yenye rangi ya Gold inayokamata zaidi macho ya watu barabarani
Thamani ya Bugatti Veyron Sport moja ni dola za kimarekani milioni $2. Hizi ni picha za gari hizo za Jamie….
Utajiri wa Jamie Foxx unatajwa kuwa ni dola za kimarekani milioni $85.
Hii Bugatti Veyron Sport ya Blue alionekana nayo toka March mwaka huu

Comments