Mwanzoni mwa wiki hii TMZ iliripoti taarifa za mchezaji mkubwa wa Golf Tiger Woods kulewa vibaya mpaka kupelekea kupata ajali na kuzima kabisa katikati ya barabara.
Jipya ni kuwa mwanamitindo maarufu instagram Laci Kay Somers amekanusha kuwepo na Tiger Woods kwenye usiku wa tukio hilo.
Laci anasema hakuwa mjini Florida usiku alipokamatwa Tiger, yeye alikuwa mjini L.A.weekend nzima. Laci mwenye followers milioni 8 anasema hajawasiliana na Tiger kwa njia yoyote ile.
Comments
Post a Comment