Picha: Ernest na Miriam Odemba walivyotokea katika tamasha la Cannes, Ufaransa

Wiki hii limefanyika tamasha la filamu la Cannes nchini Ufaransa – Muigizaji wa filamu ya Kiumeni, Ernest Napoleon na mwanamitindo maarufu Miriam Odemba ni watanzania pekee waliohudhuria katika tamasha hilo.

Mpaka sasa tamasha hilo lina miaka 70 linafanyika nchi humo na hutumika kiasi cha zaidi ya dola milioni 30 kila mwaka kuliandaa. Hizi ni picha nyingine za Ernest na Miriam wakiwa katika tamasha hilo.





Jiunge naHotmixmziray.com sasa

Comments