Nicki Minaj na Quavo waungana pamoja

Nicki Minaj aonyesha kuwa tayari kuna kitu kipo jikoni kati yake na Quavo kutoka kundi la Migos.

Rapper huyo ameweka picha katika mtandao wa Instagram ikimuonyesha akiwa na Quavo na kuandika, “🔥🔥🔥🔥🔥🔥 @quavohuncho 🎶🎵🎶🎵🎶🎵🔥🔥🔥.”
Minaj pia anatarajiwa kutumbuiza katika NBA Awards Jumatatu ya Juni 26 ya mwaka huu ambapo Drake atakuwa mtangazaji katika tuzo hizo.

Comments