Mchekeshaji Kevin Hart na rapa T.I.wameingia studio taayri kufanya show ya vichekesho pamoja.
T.I. ambaye kwa sasa ni miongoni mwa wasanii wa hiphop wanaofanya vizuri kwenye filamu Marekani, show yao itahusu maisha ya studio ya kurekodi muziki na msanii wa hiphop. T.I na Kevin wote wataonekana.
Staa wa show ya vichekesho ya ‘Everybody Love Chris’ Aeysha Carr anaandika show hii.
Hivi karibuni tutamuona T.I. kwenye filamu kama “Krystal” na “Ant-Man and the Wasp.”
Comments
Post a Comment