Kanye West amesajili msaada wa producer Rick Rubin kaajili ya album mpya…


Hiphop staa Kanye West amemsajili producer maarufu wa muziki wa hiphop na rap Rick Rubin kutengeneza album yake mpya.
Rick Rubin amefanya kazi na wadau wakubwa wa muziki kama Eminem,Lady Gaga, Justin Timberlake, Shakira, Ed Sheeran na sasa Kanye West.
Album hii itakuwa muendelezo wa album ya Kanye West ya mwaka 2016 ‘The Life of Pablo’ iliyotoka chini ya mtandao wa TIDAL na baadae kusikika kwenye mtandao wa Apple Music na Spotify.

Comments