David Beckham Visit Tanzania National Park


Mwanasoka maarufu duniani David Beckham yuko Tanzania ‘Afrika Mashariki’ kwaajili ya mapumziko na familia yake wakitembelea bunga za wanyama.
David Beckham yuko na mke wake Victoria Beckham, watoto wake Harper na Brooklyn ambaye amefikisha miaka 18 hivi karibuni.
 

Comments