Pop staa Janet Jackson ametimiza miaka 51 na aliyekuwa mume wake Wissam Al Mana, amempa zawadi ya mauwa ya waridi 100.
Al Mana anajua umuhimu wa Birthday kwenye maisha ya familia ya Jackson’s ndio maana amefanya hivyo.
Janet na Al Mana wameachana baada ya miaka mitano na mtoto mmoja wa kiume ‘Eissa’.
Comments
Post a Comment