Utajiri wa Beyonce na Jay Z kwenye rekodi mpya…


Orodha mpya ya Forbes imesema wasanii Jay Z na Beyonce kwa pamoja wanautajiri wa dola bilioni moja, Beyonce anamiliki dola za Kimarekani Milioni 350 huku Jay Z akimiliki dola Milioni 810.
Kwa pamoja Jay Z na Beyonce sasa wanafikisha kiasi cha pesa dola za Kimarekani bilioni 1.16 na kutajwa kuwa couple ya muziki yenye pesa nyingi zaidi nchini Marekani

Comments