Ujumbe wa Diamond Platnumz kwa Zari wa kumtia moyo katika kipindi hichi kigumu anachopitia….

Familia ya The Chibu’s inapitia kipindi kigumu kwa baada ya kifo cha Ivan, baba watoto watatu wa Zari.
Pamekuwa na mengi yanaongelewa mitandaoni kuhusu Zari, Ivan na Diamond Platnumz na mengine yamepelekea kuwakera baadhi ya mashabiki wao wa damu.
Kwenye IG ya Diamond, staa huyu ameandika ujumbe huu kwa Zari The Boss Lady kama kumtia moyo na kuonyesha yupo naye kwenye hichi kipindi kigumu anachopitia.
Diamond ameandika “Natamani ningekukumbatia badala ya kukutumia sms,najua upo kwenye wakati mgumu na ni mpweke, jua kwamba hauko mwenyewe, niko na wewe hapa usiku na mchana
Tunatoa pole kwa familia ya Zari, RIP Ivan The Done.

Comments