TINY Aka Major Girl yule msanii wa rnb aliyekuwa mke wa rapa T.I ameanza kuishi kama SINGLE Lady.
Tiny ambaye ni msanii wa kundi la rnb Escape ametumia IG yake kupost picha za muonekano wake kwa nyuma kitu ambacho hakuwahi kufanya akiwa na mume wake T.I.
Comments
Post a Comment