Timaya; kutazama makalio kunanifanya niandike muziki mzuri


Msanii na producer kutoka Nigeria Timaya ameongelea siri ya kuwa na rekodi kubwa za kuchezeka na kusema anaangalia sana makalio ya wanawake na yanampa ushawishi wa kutengeneza ngoma hizo…..
Timaya anasema “Napenda upande wa nyuma wa binadamu, kunanipa mawazo ya nyimbo zangu kama Ukwu na Shake Your Bum, pia naimba mambo tofauti kuweka usawa,watu ni wanafiki na hawataki kukubali kuwa nyimbo zinazoongelea makalio zinanunuliwa zaidi, nimejifunza siwezi ridhisha kila mtu na sijaribu kufanya hivyo, maisha ni burudani
Timaya yupo studio anakamilisha colabo yake na Peter wa P Square.

Comments