Show ya Tv ya 50 Cent ‘POWER’ yafanya maajabu haya…..


Show ya Tv Ya 50 Cent ‘POWER’ imetajwa kuwa miongoni mwa show inayotazamwa zaidi kwenye Tv za Cable nchini Marekani.
Mtayarishaji msaidizi wa show hio Courtney Kemp amesaini dili jipya na Starz baada ya mafanikio haya makubwa, Dili hili litamruhusu kutengeneza show zingine kwaajili ya Starz na Lionsgate na kuuza kwenye Tv zingine.
POWER Ya 50 Cent inatazamwa na watu zaidi ya Milioni 8 nje na ndani ya Marekani na ni show inayotazamwa zaidi kwenye Premium Cable kwenye HBO ikishindana na Game of Thrones.

Comments