SHILOLE KAANZA KUISAKA COLABO NA NICKI MINAJ

Staa wa Bongo Fleva Shilole ambaye kwa sasa anatamba kwenye radio na Tv  na rekodi yake ya #HatutoiKiki Remix amesema baada ya kumkosa Jennifer Lopez kwenye colabo, sasa anamtafuta Nicki Minaj afanye nae wimbo…
Shilole anasema Nilishindwa kurudi tena Marekani kutokana na mambo niliokuwa nayo ikiwemo ya kifamilia na pia Jlo nae alikwa busy busy na nyimbo yake ya “Ain’t your mama” nikaona basi tusisumbuane sana mwache aendelee na mambo yake, ila nitamfuta Nick Minaj

Comments