SELENA GOMEZ NA THE WEEKEND WAMUUMIZA ROHO BELLA HADID KWENYE MET GALA

Usiku wa Jumatatu lilifanyika onyesho la MET Gala – kivutio kikubwa katika onyesho hilo kilikuwa ni mrembo Selena Gomez, akiwa na mpenzi wake mpya The Weeknd, ikiwa ndio mara yao ya kwanza kuonekana pamoja tangu walipoanza mahusiano yao ya siri mapema mwaka huu.

Kushoto ni picha ya The Weeknd na Bella mwaka jana katika onesho hilo
na kulia ni picha ya Seena Gomez na The Weeknd mwaka huu

Hata hivyo kuwepo kwa wawili hao hakukuweza kumzuia Bella Hadid ambaye ni ex wake The Weeknd kuhudhuria katika onyesho hilo kubwa ambalo hufanyika mjini New York kila mwaka na kuhudhuriwa na mastaa wakubwa.





Comments