Mwimbaji staa wa muziki Duniani, Rihanna katika kujihakikishia anaendelea kujiongezea mashabiki kwa kuwapa ladha nzuri kwenye muziki, staa huo sasa yupo busy kwenye soko la mavazi ambapo mara hii akitambulisha bidhaa mpya za PUMA.
Rihanna ametambulisha sandlas za jeli ambazo hutumika zaidi kwa wapenzi wa kuogelea na matembezi ya hapa na pale ambapo unaambiwa aina hii ya sandles ilishawahi kutamba miaka ya 1990 huku Riri akiziboresha zaidi kwa kuziachia katika rangi tatu Pink, Nyeusi, na Bluu bahari zikiuzwa kwa pound 64.99 sawa na Tsh. 187,278.
Comments
Post a Comment