Rapa Wiz Khalifa ametimiza ndoto yake ya kukutana na staa wa filamu aliyemtazama kwenye tv toka akiwa mtoto kwenye filamu kubwa kama Rocky na RAMBO.
Staa huyu wa filamu ni Sylvester Stallone na Wiz Khalifa hakupoteza muda na kupiga naye picha akionyesha ishara ya kumpiga ngumi kama wako kwenye filamu maarufu za Stallone #Rocky.
Comments
Post a Comment