Prince William amtembelea mtoto wenye kansa

Prince William kutokea familia Malkia Elizabet II, Siku ya jana alifanya ziara ya kutembelea hospitali ya Royal Marsden iliyopo Sutton- Uingereza.

Katika ziara hiyo Prince William aliweza kumtembelea mtoto Daisy Wood mwenye miaka 6, anaeugua ugonjwa wa kansa, kisha kuzungumza nae pamoja na wazazi wake.


Hii ni mara ya 10 kwa mwana wa mfalme Prince William kutembelea hospital hiyo tangu kuchaguliwa kuwa anasimamia Royal Marsden NHS Foundation Trust.

Comments