Picha,Wasanii watatu wa rapa waliowahi kuwa na mahusiano na Nicki Minaj…

Baada ya kutangaza rasmi kuwa yuko kwenye mahusiano na rapa NAS, Nicki Minaj amingia kwenye orodha ya wasanii wa kike wanaopenda kutoka na wasanii wa rap zaidi.
Safaree Samuels na Nicki Minaj walikaa kwenye mahusiano kwa miaka 6 na walikuwa wachumba kwa miaka mitano,
Safaree na Minaj walikuwa pamoja toka mwaka 2002, uchumba 2008 na waliachana 2014.
 
Meek Mill na Nicki Minaj walianza kuwa pamoja toka October, 2014 mpaka December, 2016.
Meek Mill ni Rapper kutoka Philadelphia, Pennsylvania, yupo chini ya lebo ya Rick Ross #MMG.
Nicki Minaj na rapa Nas wameanza kuwa karibu toka Jan 2017 na kuja kuweka wazi mahusiano yao May 2017.

Comments