Picha,Wapenzi wa viatu, Yeezy Boost mpya kutoka kwa Kanye West….


Kanye West na Adidas wametangaza ujio wa “Beluga 2.0” Yeezy Boost zinazotarajiwa kutoka mwaka huu.
Mpaka sasa kuna rangi grey na orange “Beluga 2.0” Yeezy Boost 350 V2 kutoka October mwaka huu.
Viatu hivi vinatarajiwa kutoka na albu mpya ya Kanye West.
 

Comments