Picha,Vanessa Mdee kwenye redcarpet ya tuzo za Billboard Marekani…


Vanessa Mdee amekuwa miongoni mwa mastaa waliohudhuria tuzo kubwa za muziki za chati za Billboard nchini Marekani.
Tuzo hizi zinatolewa na kampuni inayosimamia chati za muziki wote duniani, na hutolewa kwa vigezo vya wimbo kuwa na Radio na Tv Play kubwa, mauzo ya album na single, mauzo ya mtandaoni na streaming, umaarufu mtandani kwa mwaka huo na kadhalika….
Hii ni picha ya msanii wa bongo fleva Vanessa Mdee kwenye redcarpet ya tuzo hizi na video fupi akiwa na producer Diplo.
 

Comments