Baada ya hit record yake #Namjua sasa Shetta yuko tayari kutoa kazi mpya. Wiki hii staa huyu wa bongo fleva ametuonyesha picha akiwa dubai kwaajili ya video mpya anayofanya.
Shetta yupo Dubai na Hanscana anayesimamia video hio….
Picha hii ilikuwa na ujumbe “Still in Dubai….. Busy Day!! #MunguWaKwetuSote“
Comments
Post a Comment