Mwigizaji wa filamu Tanzania Irene Paul Aka Angelina Jolie wa Bongo amefunga ndoa.
Hizi ni baadhi ya picha zake kutoka IG yake ya Irene Paul akiwa kanisani, pete mbili, sehemu tofauti za shughuli hii.
Pia rafiki yake kipenzi Zamaradi Mketema aliMpost…
Comments
Post a Comment