Picha,Huyu ndio Miss USA 2017, Kara McCullough

Kara McCullough mwana sayansi anayefanya kazi kwenye kitengo cha Nuclear Regulatory Commission, ametangazwa kuwa Miss USA 2017..
McCullough anatoka jimbo la Columbia alizaliwa Naples, Italy,nakulelewa Virginia Beach, Virginia.
Kara McCullough amesema anataka kushawishi watoto kupenda zaidi masomo ya sayansi,technology, engineering na hisabati.
 


 

Comments