Picha,BollyWood wanatengeneza filamu ya Rambo ya Kihindi,anayefanana na Sylvester Stallone kapatikana…..


Muigizaji wa India Tiger Shroff ataigiza kama RAMBO kwenye filamu ya Rambo ya kihindi inayoanza kutengenezwa BollyWood.
Tiger Shroff  ameonekana kufanana na Sylvester Stallone na kupewa shavu la kufanya filamu hii itakayoongozwa na Siddharth Anand wa (Bang Bang) akisaidiwa na M! Capital Ventures, Original Entertainment, Impact Films na Siddharth Anand Pictures.
Filamu hii imetajwa kutoka mwaka 2018,Tiger Shroff  ni muigizaji mzuri wa filamu za ngumi.
Stori itahusu Rambo wa kihindi kurudi nyumbani na kukuta bado kuna vita kwenye mitaa anayoishi na familia yake. 

Comments