Picha,baada ya kuachana na Nicki Minaj, huyu ndio mpenzi mpya wa Meek Mill….


Ikiwa ni miezi zaidi ya sita imepita toka ametengana na Nicki Minaj, rapa Meek Mill ameanzisha mahusiano na binti mwingine kutoka Philadelphia anayefahamika kama Nessa Colombiana.
Nessa ni mwanamitindo na mbunifu wa mavazi. Meek Mill alikuwa na Nessa kwenye show zake Dubai weekend hii.
Nessa ni ana mtoto wa kike mwenye miaka sita, Jada Milan.
 

Comments