Picha zingine za Rihanna zinaonyesha muonekano wake mpya….




Mapaparazzi wamekuwa na weekend kubwa mjni New York kumuwinda Rihanna ili kupata picha za muonekano wake mpya.
Rihanna ametajwa kuongezeka zaidi ya kilo kumi ndani ya miezi miwili toka kuonekana wazi mwezi wa tatu mwiliwake umekuwa ukiongezeka, makali na mabaja pamona na mikono.


 

Comments